November 19, 2013

CMS Website Training/Kutengeneza website kwa CMS

CMS Website Training-Karibu ujifunze jinsi ya kutengeneza website kwa kutumia Content Management System(CMS) kama zifutazo-:
-Blogger(bloging)
-Joomla
-Wordpress
-Drupal
-OpenCart
-Magento
Katika chuo cha Unit Network Institute Chuo kipo Kimara-Mwisho Dar es salaam
Ni practical zaidi!!
kwa maelezo zaidi usisite kuwasiliana kwa 0684 22 44 97

na walio mikoani tunaweza kuwafundisha kwa online au kwa njia ya vitabu!!
Na vile vile kuna yule anayejuakutumia au kutengeneza kwa hizo cms au zingine tofauti na hizo unakaribishwa au kuna mwingine anatafuta cheti pia unakaribishwa kuna mitihani ya vitendo(Practical) na nadharia (theory)!!

Mnakaribishwa nyote!!

0 comments:

Social Profiles

Twitter Facebook Google Plus LinkedIn RSS Feed Email Pinterest

Facebook

Instagram

Popular Posts

Categories

Accessories (10) Biashara (37) Fashion (3) Laptops (4) Msaada (22) Plugins (1) Software (18) Tutorials (11)

Follows On Twiter

    Video Of he Week

    Contact Us

    Name

    Email *

    Message *

    Location

    Copyright © Biashara Zetu | Powered by Blogger
    Design by Lizard Themes | Blogger Theme by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com