Web developer-kwa ajili ya kukupunguzia muda na kuwa na kasi nyingi ya kutengeneza web au desktop application.
Networking Tools-Pata software nzuri kaisa na rahisi kutumia itakayo kusaidia katika configaration zako na utaongeza ufanisi na speed katika kazi zako
Printing Cost(job)-Pata software nzuri itakayo kusadia kupunguza cost za wino na kupunguza makaratasi na kupata faida nyingi sana na kumanage vizuri kazi yako.
Walimu/wanafunzi-Pata software nzuri kwa ajiri ya kusomea na kufundishia katika masomo tofauti na upate njia nyingi za ufundishaji au za kusoma .
Mfanyakazi/Muajiri-Pata software kwa ajiri ya shughuli zako na uweze kuwa mfanisi zaidi..
zipo software za aina tofauti tofatui na kwa kazi tofauti usisite kuwasiliana nasi tupo kwa ajili yako
mob: +255 684 224 497 au kwa contant form ipo kwa chini!!
0 comments:
Post a Comment